Kupanda kwa bei ya Viwanja Dodoma

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
Kuhamia kwa serekali Dodoma kutafanya viwanja vipande bei maradufu.

Ushauri wangu kwa wanaotaka kuhamia dodoma na bado hawana viwanja,mashamba dodoma kuwa muda ndio huu wa kushughulikia na jambo hili kabla bei hazijapanda sana.

1.Karibu tukusaidie kupata eneo unalolitaka kwa bei nafuu na nzuri sana.kwani bado kuna maeneo mazuri(potential lands) kwa bei nafuu sana kuanzia milioni 1.6 mpaka milioni 30 kwa ekari moja.

2.Hatufanyi kazi kama dalali ila kama wakala na tuko kwenye process za kufungua kampuni "Good Neighbour real estate company"
Malipo yetu ni 10% ya biashara(mfano;ukinunua eneo milioni 2 basi malipo ya wakala ni laki 2 tu) Tofauti na madalali wanavyofanya,hapa unajua bei halali kabisa.

3.Tusipuuzie jambo hili ndugu zangu,ardhi inathamani sana kwa wanaotambua na kwa Dodoma inapanda bei kila kukicha!!!Tuwekeze mapema

4.Kwa mawasiliano zaidi 0767833496/0659605358

5.Yafuatayo ni baadhi ya maeneo ambayo bado hayajauzwa na bei zake ni nafuu sana
 
Serikali imekataza watu kuuziana maeneo kiholela huko Dodoma, wewe unataka kuuza hayo maeneo kwa kibali cha nani?
 
Taja nawezapenda eneo kwa kulifahamu cio picha,mfano, bwigili,chamwino,makulu ,ihumwa nk sawasawa?
 
Taja nawezapenda eneo kwa kulifahamu cio picha,mfano, bwigili,chamwino,makulu ,ihumwa nk sawasawa?
Ndio mana tunaweka namba za simu kwa mawasiliano zaidi.Hatuwezi andika kila kitu humu,unaweza anza niuliza vipi umbali toka barabara kuu?je town centre?
Nafikiri mtu aliye serious huchukua hatua na sio wote wanafamu mitaa/kata mbali mbali pengine wengine wanajua jina chamwino ila hata hawajui ilipo.
Karibu sana mkuu,tumeweka namba zetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…