Hahaha hapana...watu wanaonidai ndio huwa simu zao zinakera mnooumeshawahi mfanyizia mtu unyamaa kwa kero za kupigaaa simu kila saaa
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Kwani usipopokea inakuwaje?Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
yamekukuta?
Leo Chura amepapaswaYani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikionisipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
Wewe si umesema Unaogopa Kuzaa TuliaUsiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Acha uongoLabda kama umependa mwenyewe tu kuongea au kuchati. kwanza unaweza kuamua kutopokea simu au kutosoma sms zake. ikitokea bahati mbaya umepokea ni kumkatia simu tu, atasepa mwenyewe,
Sio siri hata mimi sipendi kongea na simu na mtu nisiyependezwa nae. nitatafuta mbinu yeyote mazungumgumzo yawe mafupi
Ngoja nikanywe na soda kwa kuwa umenikumbusha utamu wa simbaLeo Chura amepapaswa
Lake Tanganyika haipo Kasulu, hiyo ni Kigoma mjini, anzia mitaa ya KibiriziUsiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!