Jogookoko JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 533 Reaction score 419 Feb 1, 2018 #1 Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Feb 1, 2018 #2 Irudishe ulikoitoa
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,862 Feb 2, 2018 #3 mrudishie mwenye simu, la sivyo JELA itakuusu!
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Feb 2, 2018 #4 Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... acheni miteremko, kitonga sio kizuri sikuizi na wizi ni mbaya
Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... acheni miteremko, kitonga sio kizuri sikuizi na wizi ni mbaya
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Feb 2, 2018 #5 Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... Mtafute mwenye nayo mwambie akupe elfu 30 ya "kumuokotea" simu yake.
Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... Mtafute mwenye nayo mwambie akupe elfu 30 ya "kumuokotea" simu yake.
B Bugge Member Joined Mar 13, 2017 Posts 31 Reaction score 12 Feb 2, 2018 #6 Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... "Icloud" unafahamu maana yake mkuu?
Jogookoko said: Habari za usiku wataalamu. natafuta mtaalamu wa kuondoa icloud kwenye iPhone Click to expand... "Icloud" unafahamu maana yake mkuu?
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,150 Feb 2, 2018 #7 barafuyamoto said: Mtafute mwenye nayo mwambie akupe elfu 30 ya "kumuokotea" simu yake. Click to expand... Bora umempa Plan ‘B’ Yeye anajua Icloud ni Application
barafuyamoto said: Mtafute mwenye nayo mwambie akupe elfu 30 ya "kumuokotea" simu yake. Click to expand... Bora umempa Plan ‘B’ Yeye anajua Icloud ni Application
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Feb 4, 2018 #8 Mimi natoa Icloud za tecno.... 0759868*71
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Feb 4, 2018 #9 Kuna simu nyingi sana za Iphone zipo mtaani. Hio simu huwezi kuitumia na kwa usalama wako irudishe kwa mwenyewe. No other way round
Kuna simu nyingi sana za Iphone zipo mtaani. Hio simu huwezi kuitumia na kwa usalama wako irudishe kwa mwenyewe. No other way round
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Feb 4, 2018 #10 dronedrake said: itakuusu! Click to expand... itakuusu=itakuhusu hivi huko shuleni hua mnaenda kusomea ujinga!?
dronedrake said: itakuusu! Click to expand... itakuusu=itakuhusu hivi huko shuleni hua mnaenda kusomea ujinga!?