kindamba kuchocha
Member
- Jun 16, 2015
- 19
- 2
Kama ni mara tatu basi utakuwa unalipwa
tshs630000(salary ya serikali) *3=1890000tshs (mshahara wako wa sasa)
chukua 1890000*36(miaka 3) = jibu weka mwenyewe,ukitoka hapo mkuu bado tena unahitaji tu kurudi kufanya kazi za watu?!! duh hii ni shida sasa!!!
Fanya kaz miaka 3 nenda kasome kidogo utaingia serikalin moja kwa moja...
Sikilizaa ww Umefanya Mistake!!ungeenda kuripot kituo chako.cha Serikali then.ukaomba Likizo(isio na malipo) ya hio miaka ambayo utafanya kazi private
Nafasi yakk.serikalini ingekuaa paaaleepalee!!Ili hata ikitokea Unapata ttzo llot mbeleni unakua na uhakika wa Ajira yako serikalini!!
una uhakika unalipwa mara tatu ya mshara wa mwal?? kaz gan ya shahada ya kwanza huyo mzungu anakulipa zaid ya 1.8mil?? Em fanya mahesabu vizur ndo ufanye maamuz na ujue mshahara wa mwal serikalin sio constant.... unaongezeka kila mwaka!!
Sasa km ya serikali Basi imeshakula kwAke kwani kuripoti c mlipewa cku5 mpka sasa ulikuwa wapi kma ushauri ungeomba mapema kabla ya hapo.we endelea na hiyoo uliyonayo kijana