Shukran mkuu kwa kunielewesha hili.Yes lina ukweli , kwa uelewa wangu inabidi chuo husika watoe ile kitu inaitwa NTA levels, so ili upate advanced diploma lazima umalize NTA level 7, ndo utapata gamba lake la sivyo ni bure
Na vyuo vyenye NTA nadhani ni Taasisi mfano DIT,TIA,ATC...
QUOTE noYes lina ukweli , kwa uelewa wangu inabidi chuo husika watoe ile kitu inaitwa NTA levels, so ili upate advanced diploma lazima umalize NTA level 7, ndo utapata gamba lake la sivyo ni bure
Na vyuo vyenye NTA nadhani ni Taasisi mfano DIT,TIA,ATC...
DIM piaYes lina ukweli , kwa uelewa wangu inabidi chuo husika watoe ile kitu inaitwa NTA levels, so ili upate advanced diploma lazima umalize NTA level 7, ndo utapata gamba lake la sivyo ni bure
Na vyuo vyenye NTA nadhani ni Taasisi mfano DIT,TIA,ATC...
Waulizee hao hao waliokudanganyaHabari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,kwa ufupi Mimi in kijana niliyefanikiwa kuonja ladha ya elimu ya chuo.Nimesoma chuo Fulani maarufu hapa nchini course ya accountancy(BACC).Sasa kutokana na changamoto za ada nikashindwa kumaliza mwaka wangu WA tatu chuo.
Kutona na hilo ilibidi niingie kitaani nipambane nikiamini si elimu tu inaweza kunitoa kimaisha.Sasa katika hustling zangu za hapa na pale nimekutana na changamoto kwamba michongo mingine hupati bila kuaminika na vyeti kwamba umesoma(which is hopeless).
Katika stori za hapa na pale chuo nilishawahi kusikia kwamba ukimaliza first two years za degree unaweza kuwa entitled na advanced diploma.
1.Je hili Lina ukweli wowote?
2.Ni vyuo vyote au baadhi?(nimesoma serikali)
3.Asanteni na karibuni.