L livvy Member Joined Nov 2, 2017 Posts 21 Reaction score 14 Dec 4, 2018 #1 Mfumo wa manunuzi mitandaoni sio rafiki hapa Bongo, changamoto hii tunaweza kuifanya fursa.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Dec 5, 2018 #2 Hivi naweza nunua Bikira original Nguvu za kiume Maisha marefu Mtambo wa kufufua wasisi Mashine ya kujua kinachoendelea Tanzania Ni hayo tu
Hivi naweza nunua Bikira original Nguvu za kiume Maisha marefu Mtambo wa kufufua wasisi Mashine ya kujua kinachoendelea Tanzania Ni hayo tu
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,393 Dec 5, 2018 #3 livvy said: Mfumo wa manunuzi mitandaoni sio rafiki hapa Bongo, changamoto hii tunaweza kuifanya fursa. Click to expand... Uaminifu ndo changamoto inayokumba wauzaji wa kibongo
livvy said: Mfumo wa manunuzi mitandaoni sio rafiki hapa Bongo, changamoto hii tunaweza kuifanya fursa. Click to expand... Uaminifu ndo changamoto inayokumba wauzaji wa kibongo
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,511 Reaction score 6,888 Dec 5, 2018 #4 tatizo hasa ni kweye ufikishaji wa bidhaa kwa mteja
L livvy Member Joined Nov 2, 2017 Posts 21 Reaction score 14 Dec 5, 2018 Thread starter #5 Marwa_J_Merengo said: tatizo hasa ni kweye ufikishaji wa bidhaa kwa mteja Click to expand... Ni kweli..na gharama pia huwa ni kubwaa..za kusafirisha..labda ukiwa na mzigo mkubwa..ila ukiwa na mzigo mdogo duh..utaona bora ukiache tu.
Marwa_J_Merengo said: tatizo hasa ni kweye ufikishaji wa bidhaa kwa mteja Click to expand... Ni kweli..na gharama pia huwa ni kubwaa..za kusafirisha..labda ukiwa na mzigo mkubwa..ila ukiwa na mzigo mdogo duh..utaona bora ukiache tu.