Ni ya kutunga mkuu wala usijali sana! Unaona kuna mahali anasema alikuwa akiishi kwa babu mzaa baba lakini humo humo anasema tena mamake mkubwa alikuwa akija lazima aje kwa babu mzaa mama kunisalimia! Sasa huyu alikuwa akiishi wapi?
Hapo pa kumuita mama shangazi..! umenikumbusha mama yangu alinambia nimuite mama mdogo by then alikuwa ameolewa kwngne ambako sio kwetu, huwa nikikumbuka wakati huu napatwa na PTSD...
Hapo pa kumuita mama shangazi..! umenikumbusha mama yangu alinambia nimuite mama mdogo by then alikuwa ameolewa kwngne ambako sio kwetu, huwa nikikumbuka wakati huu napatwa na PTSD...
Ni ya kutunga mkuu wala usijali sana! Unaona kuna mahali anasema alikuwa akiishi kwa babu mzaa baba lakini humo humo anasema tena mamake mkubwa alikuwa akija lazima aje kwa babu maza mama kunisalimia! Sasa huyu alikuwa akiishi wapi?
wewe ndp hujaelewa. mama mkubwa alikuwa dada yake mama. akija kumsalimia mama yake lazima pia aje kwetu. baba na mama wanatokea sehemu moja tofauti ni vijiji tu mpendwa.