Hivi vipande vya khanga vilikua ni kwa matumizi ya nyumbani, lazima uwe na nappy 3-4 kwa clinic na kanisani. Baada ya nappy kuna chupi ya mpira ya kuzuia mikojo.Zilikuea dili kijijini zilitumika kutolea funza miguuni, umenikumbusha mbali habari ya kuanikia nappy sikumbuki, mama alitumia kanga zake kuukuu kuchana vipande. Shukran za pekee ziende kwa wamama wote popote mlipo.