Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,026
Duh... Yaan nimecheka mpaka basiiNowadays the mshipa wa aibu is broken.
Kwenye kiswahili hapo naomba uniwekee kiingilishi mkuu
Mkuu usijiangalie umri wako ukadhani mko sawa wote.Humu JF hadi mwaka 1990 hakuna aliyekuwa anajua mapenzi ni nini
2000 labda wapo ila kidogo sanaaa
Kwa 2019 mie niko hapo 'do everything, but don't tell anyone'
Nimekuelewa mkuuMkuu usijiangalie umri wako ukadhani mko sawa wote.
Kuna mama zako na baba zako humu