DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,201 Nov 5, 2023 #101 Mzee wa kupambania said: Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoa Click to expand... Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ? Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU
Mzee wa kupambania said: Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoa Click to expand... Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ? Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,903 Nov 5, 2023 #102 DR HAYA LAND said: Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ? Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU Click to expand... Wakati mwingine mazingira yanawaathiri labda wanapoona dada zao, ndugu au majirani wanapoolewa na hizi mambo za tamthilia na mitandao zinapoonyesha ishu za ndoa zinaamsha tamaa ya kuolewa
DR HAYA LAND said: Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ? Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU Click to expand... Wakati mwingine mazingira yanawaathiri labda wanapoona dada zao, ndugu au majirani wanapoolewa na hizi mambo za tamthilia na mitandao zinapoonyesha ishu za ndoa zinaamsha tamaa ya kuolewa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,380 Reaction score 24,119 Nov 7, 2023 #103 Poor Brain said: 🤔🤔🤔🤔 daaah hii ndo imetokea kwa ex wangu... 20-24 Akasema haolewi mimi mpaka nijitafute na nijipate ila huko alipoenda akawa mke wa pili Click to expand... Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo?
Poor Brain said: 🤔🤔🤔🤔 daaah hii ndo imetokea kwa ex wangu... 20-24 Akasema haolewi mimi mpaka nijitafute na nijipate ila huko alipoenda akawa mke wa pili Click to expand... Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo?
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,903 Nov 7, 2023 #104 nguvu said: Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo? Click to expand... Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kwa ukristo hakunaga mke wa pili
nguvu said: Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo? Click to expand... Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kwa ukristo hakunaga mke wa pili
mkadiriaji majenzi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2023 Posts 260 Reaction score 576 Nov 7, 2023 #105 bandeko andeko said: Nimeikuta mahali hii picha.. View attachment 2804768 Click to expand... hakuna 40 - 50
bandeko andeko said: Nimeikuta mahali hii picha.. View attachment 2804768 Click to expand... hakuna 40 - 50
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,380 Reaction score 24,119 Nov 7, 2023 #106 Mzee wa kupambania said: Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kws ukristo hakunaga mke wa pili Click to expand... Umeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote?
Mzee wa kupambania said: Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kws ukristo hakunaga mke wa pili Click to expand... Umeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote?
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,903 Nov 7, 2023 #107 nguvu said: Umeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote? Click to expand... Mwanamke kuolewa mke wa pili Tusiigeneralize hiyo kauli mke wa pili
nguvu said: Umeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote? Click to expand... Mwanamke kuolewa mke wa pili Tusiigeneralize hiyo kauli mke wa pili
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,795 Reaction score 58,427 Nov 7, 2023 #108 nguvu said: Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo? Click to expand... Hakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu.. Mpaka anakubali basi jua hiyo ni opt ya mwisho tuu..""atafanyaje tena ""
nguvu said: Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo? Click to expand... Hakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu.. Mpaka anakubali basi jua hiyo ni opt ya mwisho tuu..""atafanyaje tena ""
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,380 Reaction score 24,119 Nov 7, 2023 #109 Poor Brain said: Hakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu.. Mpaka anakubali basi jua hiyo ni opt ya mwisho tuu..""atafanyaje tena "" Click to expand... Nimekupata mkuu
Poor Brain said: Hakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu.. Mpaka anakubali basi jua hiyo ni opt ya mwisho tuu..""atafanyaje tena "" Click to expand... Nimekupata mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Nov 7, 2023 #110 Ngoja waje...