Koh koh koh ............tumbaku ya leo imekuwa kali sana Mkuu, utasema ni ile ya kutoka Madaba kule Ruvuma π€Wajukuu muhimu sana..
Ila humu una watoto tuu..
Wajukuu bado sana au naongopa...ππππ
Nitashukuru ikiwa hivyo Mkuu, maana Wazee tunapigwa vita kila kukicha.Mi ni moja wa kijana ambaye takutumia ipasavyo na kwa yoyote atakae kuletea habari za ajabu takua kifua mbele kumuadabisha ππππππ€π€
Yaoo yaoooKoh koh koh ............tumbaku ya leo imekuwa kali sana Mkuu, utasema ni ile ya kutoka Madaba kule Ruvuma π€
Niko kwa hewa.. nambieD nakupataje?
Nipo hapa mzoefu wa hizo kazi aniNitashukuru ikiwa hivyo Mkuu, maana Wazee tunapigwa vita kila kukicha.
Bora uwe mtetezi wetu Mkuu π€
Mungu aliyeamua nizaliwe kwa imani hiyo.. anitetee na kuniepushia mbaliKuna situation tuu..
Ukikutana nazo.. maana hao wanao hama si kama hawajaona yote hayo
πππππ€
πππππππππMungu aliyeamua nizaliwe kwa imani hiyo.. anitetee na kuniepushia mbali
Nisije kurudi kwake huko nikakuta tena maswali kwann nilihama hama ππ
π huku chini kuna manyunyu muda nayasikia sikia.Nitakucheki japo ni very sensitive...ingekuwa ana kwa a...ingekuwa afya sana.
Hujambo lkn?
Ni mmoja yesπππππππππ
Ndo hicho unacho ogopa
Mi naona kawaida tu kikubwa ni mungu huyu huyu mmoja
...mo...r.w..ntakuwa anga hizoπ huku chini kuna manyunyu muda nayasikia sikia.
Ngoja tuone itakuwaje by 19PM au.
Niko poa sana..
Yaani ni vile vile tuu..Ni mmoja yes
Ila kwanini anaabudiwa kwa misingi tofauti?
Akili zako unazijua mwenyewe. Mama yako mwenyewe kakusaliti sembuse wa wengine! Mahitaji ya kifedha! Kwa hiyo,unamaanisha wanaume tumezaliwa kuwataftia hela wanawake?! Bank zilipo na ATM hawapajui? Wakatafute hukoMwanamke hawezi kukusaliti kama unajua kutimiza majukumu yako ipasavyo.
Kumbuka pamoja na kumuhudimia kwa mahitaji yake ya kifedha basi hakikisha na lile hitaji lake la Kimwili unalitimiza Kisawasawa.
Hapo sawa MkuuNipo hapa mzoefu wa hizo kazi ani
Au al maarufu mnyangende
Hapo sawa MkuuNipo hapa mzoefu wa hizo kazi ani
Au al maarufu mnyangende
Mwanamke akishafikisha umri wa miaka 20 tu kaa ukijua tayari kashaanza kuifikiria na kupiga picha akilini siku yake akiwa anaolewa, wedding gown atakayovaa n.kWanawake sahv hasa Hawa watoto wadogo wa 20s Wanasema kuwa hawataki ndoa ,hii imetokana na vijana siku hizi hawataki kuoa .yaani hawapendi kuoa.so kilichopo ni habari za sizitaki mbichi.
Kuna kitoto kipo Around 15-16yrs kinaongea mambo ya ndoa ninshtuka Sana kiufupi watoto wakike wapo Mbele ya muda sanaMwanamke akishafikisha umri wa miaka 20 tu kaa ukijua tayari kashaanza kuifikiria na kupiga picha akilini siku yake akiwa anaolewa, wedding gown atakayovaa n.k
Wasikudanganye wanapenda sana ndoa ila tatizo wanatafuta wanaume ambao hawawezi kuwapata mwisho wa siku wanajikuta na umri umewatupa mkono
Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoaKuna kitoto kipo Around 15-16yrs kinaongea mambo ya ndoa ninshtuka Sana kiufupi watoto wakike wapo Mbele ya muda sana