Kuna ukweli? 'How The AU Failed Africans'

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031


'It's time the African Union made radical changes to how it responds to gross human rights violations' Netsanet Belay. AlJAZEERA.

Wakati Viongozi wa Africa wanakutana tena Addis Ababa, kuna haya yanaendelea Africa..

-Sudan, kuna Protest ambapo Security Forces wameua watu 45 na kujeruhi wengi tu.
-Zimbabwe, kuna Protest ambapo Security Forces wameua watu 13 na kukamata wengine 600.
Internet ilizimwa kuzuia watu kufanya maandamano ya Amani..
-DRC ndo wamemaliza uchaguzi lakini kwa mbinde..watu 20,000 walikimbia nchi kuhofia machafuko na UN wanafanya uchunguzi wa madai ya vifo vya zaidi ya watu 500 katika jimbo la Yumbi.
-Burundi 2015, crackdown on human rights, on someone's bid for a third term in office. The AU expressed the intention to decisively stop the abuse, only to backtrack before it could take any concrete action.
-Somewhere in East Africa...there's proposals to place opposition parties under sharp new scrutiny. Citizens have to watch what they publish, tweet, or sing.

"AU and SADC has repeatedly failed to tackle the issues head-on, lacking the courage and political will to drive change..preaching peace is not enough. It is time the AU made radical changes. Though its actions and words, the AU needs to be seen as standing on the side of the people fighting for Justice&Freedoms - not the other way around"

How the AU failed Africans, from Sudan to DRC and Zimbabwe
 
Umoja ambao hauna matokeo makubwa chanya kwa mwananchi na mwafrika wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…