Apandacho mtu ndicho atakachovuna ukipanda uharibifu utavuna uharibifu,ukichakachua wake wa wenzio na wa kwako atachakachuliwa tu,ukiharibu nyumba ya mwenzio na ya kwako itaharibiwa.Ogopa mke wa mtu/mme wa mtu kama ukoma.
Aziniye na mwanamke/mme hana akili kabisa naye ajiletea uharibifu.