fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,503
- 27,811
Upo km mmYuko vizul sana yule kaka me naipenda sura yake tu
Kwa hapa Africa hiyo inafahamika kuwa jamaa hana mpinzani thabiti......ana vocal Kali, m'bunifu lakini pia Anaenda na wakati
Bennie man c anatoka Jamaica?Bennie man
Wanaofanya Dancehall ni wachache so anaweza kuwa bora kwa hao wachache
,,,,,,,,,,,,King wa Dancehall ni Shabba Ranks tu, wengine wanaiga tu.
Achana na shatta wale....yan his more than hot...
Hicho kichwa kiache km kilivyo, mwanzo nilifikir ni man frm Kingston-Jamaica
Umemwacha wapi Burna Boy, jamaa nakubali sana vocal lake.ABARI ZA ASUBUHI ? wAKUBWA SHIKAMOONI
kama kichwa cha habari kinavyosema kwa muziki wetu barani afrika kuna msanii yeyote anaeweza kumpita huyu mkali kutoka Nigeria anaetamba na miondoko ya dancehall?? japo wapo baadhi ambao kidogo wakifanya juhudi wataweza kumfikia lakini sio kumpita nao ni
1;stone bway -ghana
2:shata wale-ghana
3: Cynthia Morgan- Nigeriaa
4:chibwa-Tanzania
patoranking ametoa ngoma kali ambazo zinaishi toka mwaka 2013 mfano wa ngoma zake
ALUBARIKA FT TIMAYA ndiyo ilomtambulisha kwenye game hasa kwao Nigeria
GIRLI'O FT TIWA SAVAGE
MY WOMAN MY EVERYTHING FT WANDE COAL
HAPPY DAY
HALE HALE
LOVE YOU DIE FT DIAMOND PLATNAMZ
na ngoma yake alotoa mwaka huu inaitwa suh different
swali linakuja huyu jamaa anastahili kuwa King of dancehall in africa? au bado sana
[HASHTAG]#nimimimdogowenu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#YUNGTEMPEr[/HASHTAG]
ABARI ZA ASUBUHI ? wAKUBWA SHIKAMOONI

Jamaa anajua sana hakuna wa kulingana nae Africa hii
Hivi huyo chibwa wetu ashapotelea wapi?
nilimsahau mkuu uyo anakua wa pili jamaa yuko good sana mzee wa bangi uyoUmemwacha wapi Burna Boy, jamaa nakubali sana vocal lake.