kumbukumbu mjarabu

sio njaa jamani hapo ndo ujuwe pesa sabuni ya roho, yaani hiyo current ay kanawiri mnoo na si kuwa kanenepa. Na hapo ndo huwa nachelea kusema bora uwe na nyama kidogo unapendeza ukiwa mkondefu hata sura inakuwa kama una unyafuzi, nyama nyama mwilini ndo mpango mzima sio unakuwa kikondaa kama mkaanga sumu au mwenye roho mbaya, wacha pesa ikungarishe. Mtazamo tuu
 
hii Mk.Ori. ubuheri? ivo kweli pesa inangarisha?....! au hormonies zikifurahi ndo mwili wafunguka? Je nikikupa vijisenti utakuwa Model au superQueen? Ok Sweet Dreams ni juze.
 
hii Mk.Ori. ubuheri? ivo kweli pesa inangarisha?....! au hormonies zikifurahi ndo mwili wafunguka? Je nikikupa vijisenti utakuwa Model au superQueen? Ok Sweet Dreams ni juze.

I'll just be me, but who knows?? I might be more than super queen. But naogopa vijisenti vya watu maana huwa vinademan nyuma yake ....................
 
Mkuu @ Mkunde original well said, mie kwa mtizamo wangu naona picha ya kwanza inaonyesha AY alikuwa kwenye mapito ya balehe kipindi hicho angeweza kumeza kisadolin cha wali maharage kila mlo na bado asinawiri
 
Kwa wale wanaomfahamu vizuri huyu bwana ,je ni mtoto wa marehemu Yesaya Mwakipagema au wanafanana tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…