1=Usilazimishe kupenda usipopendwa UTAUMIA,
2=Usiache kupenda ulipopendwa UTAJILAUMU,
3=Usitoe maamuzi kwa ajili ya fulani UTAJUTIA,
4=Usione soo kusema ukweli wako UTAUMIA,
5=Usiwe na wivu usio na subira UTAHANGAIKA,
6=Ukihisia usiamue CHUNGUZA KWANZA,
7=Ukichukia usinune MWAMBIE,
8=Usichague sura bali TABIA,
9=Epuka ubabe UTABABAISHWA,
10=Kuwa imara kumtetea ULIYE NAYE.
TIMIZA WAJIBU WAKO. "
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu we ni aina flani ya kungwi nini?
Namba 8 ni 50/50. Why?1=Usilazimishe kupenda usipopendwa UTAUMIA,
2=Usiache kupenda ulipopendwa UTAJILAUMU,
3=Usitoe maamuzi kwa ajili ya fulani UTAJUTIA,
4=Usione soo kusema ukweli wako UTAUMIA,
5=Usiwe na wivu usio na subira UTAHANGAIKA,
6=Ukihisia usiamue CHUNGUZA KWANZA,
7=Ukichukia usinune MWAMBIE,
8=Usichague sura bali TABIA,
9=Epuka ubabe UTABABAISHWA,
10=Kuwa imara kumtetea ULIYE NAYE.
TIMIZA WAJIBU WAKO. "
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuuNamba 8 ni 50/50. Why?
Usichague sura bali tabia, rahisi kuongeleka lakini kiukweli ngumu kumeza. Been there, unahitaji moyo.
Huwezi sema utamuoa mtu asiyekuvutia physically. Utayumba na utachepuka tu. I struggled through this, and I won. Ukiona partner wa rafiki yako mkali kuliko wako utaelewa. Anyway in the long run, kuna faida, kwani sura upotea, tabia ubaki.
Kama upo kwenye age 18-39... Hii no 8 una wakati mgumu nayo. Kama una moyo wa chuma, mkifika 40+ utaenjoy maisha.
Mtazamo wangu tu.
-callmeGhost