kumbe wametoka mbali

Dah mapenzi ya kweli bana yana raha yake sanaaaa!
 
daah safi sana mkuu ..inaonekana hapo ni Kenya nini? Mbona hizo nambari za gari hapo ni za kikenya? ..kuna kigari KQA 103..enzi hizo alikuwa anawatembelea kama kawaida..sasa imebaki historia.
 
Sasa wanataka nini tena......si huyo hapo aliwatembelea hata kabla yetu........
 
Sasa wanataka nini tena......si huyo hapo aliwatembelea hata kabla yetu........

wanataka aende akiwa Rais

Kipindi kile alienda akiwa Serengeti boys ,future haijajulikana itakuwaje🙂
 
Tujadili kwamba wametoka mbali au kwa sababu ni Mkuu wa nchi then kila lake ni debatable!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…