Kumbe tindikali nouma babakeeee!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Duh! Haijawaikutokea jamen!
Sheha wa M'BORIBORINI (Zenji) jina kavuni! Amekuwa akizingua raia wa shehia yake toka alipopata Usheha. Sasa raia (wahuni) wakaamua kumtia Adabu! Si siku izi tindi kali ndio dawa yao!!!
Usiku Watu WAKAANDAA TEGO, wakamvizia wakammwagia mwili mzima, afu watu haoooo!
Sheha akaanza kupiga mayowe! Raia wema wakasogea pale, wakamuuliza kulikoni? Akajibu kamwagiwa tindi kali! (huku kafumba macho) akakimbizwa hospitali. Doctar baada kuchuza akagundua kamwagiwa maji baridiii!
Hahahahaaa!
Kutoka hospitali Sheha, duh huwezi amini! Sasa ivi yeye na raia wake damdam!
Chezea Zenji weyeee!
Wajameni munaonaje hii dawa ikatumika Tanganyika kwa Viongozi kama hawa?
 
Hahahahaaa! Haujaelewa Mkuu! Sio tuwamwagie tindi kali! Just tuwamwagie maji ya Baridi, iwe kama rimkwara flani hivi! Uhakika ataogopa na kuanza kutekeleza majukumu yake kama inavyotakiwa!

ww mtoto ww unaakili timam what if maparent zako wakihusika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…