Serikali na TCRA kukubali kuzima mitambo ya utangazaji ya analogia kwa awamu ni kukubali maoni ya wananchi waliokuwa wanadai maandalizi yalikuwa hayatoshi kufanya hivyo,kwani sehemu kubwa ya nchi haijafikiwa na wauza ving'amuzi.na huduma nyingine za digitali .hivyo serikali wakati mwingine isiige mkumbo sijui ni makubaliano ya nchi za Afrika mashariki,kwani sio kila kifanyikacho ktk nchi nyingine jirani kifanyike ktk nchi yetu bila kujali mazingira ya nchi na uwezo wa technologia na uchumikwa wananchi husika.