Wadau,wasalaam!!
Nina maswali juu ya swali,ndio nina swali na swali tena..
Kuna watu vipofu walisema kuwa,CHADEMA kitakufa kabla ya 2014,wakawabambikizia watu kesi ya ughaid,mahakaman wakapigwa chini,kwa kuwa ni vipof,hawaoni pia viziwi hawasikii.
Hlo halijaisha,wakawamwagia watu tindikal,wakasema CHADEMA,wakapiga watu mabomu,waksema cdm,wakasimama majukwaan wakicheka na kutabasam kuwa sasa cdm kwishney,Wakashindwa.
Wakakaa kikao,wakabadilisha stail,wakamtumia msalit m1,ili aivuruge chama.ikashindikana Sasa imebaki matusi jukwaan.
Naanza kuelewa kuwa,wanaokufa ni wao wenyewe..mfn,wamekufa madiwan wao majuz tu,wengine wakajiuzulu,mwingin kakimbilia Nigeria kuomba msaada kuwa CHADEMA kife,karud na matusi jukwaan.
Wengin wameanza kuchanganyikiwa wakiwa bunge la katiba,et kura ya wazi tuuu...wakat yeye kachaguliwa na kura ya siri..mpk 1 akalia kabisaaa...mtu mzima..et anataka kura ya wazi.
Hata uteuz wa wagombea wa ubunge inaonesha kuwa,ccm inakufa,hawana wagombea,wanaridhisha uongozi kinakufa hicho.
Mwaka huu ni 2014, CHADEMA bado ipo hai,tena wanazid kusambaa,wametinga Njombe mjini hakuna tena ukanda hakika CHADEMA haifi.
Waliosema CHADEMA kitakufa,sasa natangaza,wafe wao,ndio mfe ili ufisad upungue,wizi upungue,madawa ya kulevya yapungue,kuridhishana uongoz uondoke,nasema mfe ninyi anaebisha afe tu tena afe.