mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,468
- 14,503
Mkuu hizi theories watu wanazifuatisha sana na Bado inagoma.Mimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?
2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.
3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.
4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.

Na hapo ndiyo penyewe mteja ni yule anayetoka nyumbani akiwa na mahesabu ya kuja kwako kununua bidhaa au huduma saa nyingine utafute wateja nje ya barabarani yani umwandae toka nyumbani, wa barabani nao ni wateja lakini inategemea na biashara mfano machinga, muuza matunda, muuza chakula jikoni unapata na wa barabani lakini ukiwa muuza magari, muuza mabati, cements, nondo, rangi, muuza mbao, muuza nguo za harusi kupata wa barabarani Ni nadra Kaka au amna kabisaa, na uchumi ulivo sasa hivi watanzania wengi wa kipato haba wana nyota ya 500 jero tu so uza bidhaa za bei chee au kama barkheresa au moo wanavouza juisi za 500, 600 maana wanajua watz wanatembeleana hizo nyota.Mkuu hizi theories watu wanazifuatisha sana na Bado inagoma.
Wewe unafikir kabla ya kuanza biashara wateja utawajuaje,utawezaje kutofautisha Kati ya wateja na wapita njia,kwa sababu hata wapita njia pia huwa wananunua bidhaa au huduma.
Theories za makaratasii siyo zote hazifai ukizitumia vizuri wapo waliozitumia wakapata pesa wakafulia lazima waseme maisha magumu.Mkuu hizi theories watu wanazifuatisha sana na Bado inagoma.
Wewe unafikir kabla ya kuanza biashara wateja utawajuaje,utawezaje kutofautisha Kati ya wateja na wapita njia,kwa sababu hata wapita njia pia huwa wananunua bidhaa au huduma.
Mkuu umejitahidi kuelezea vzr lkn bado hujamaliza kiu yangu ya maswali.Na hapo ndiyo penyewe mteja ni yule anayetoka nyumbani akiwa na mahesabu ya kuja kwako kununua bidhaa au huduma saa nyingine utafute wateja nje ya barabarani yani umwandae toka nyumbani, wa barabani nao ni wateja lakini inategemea na biashara mfano machinga, muuza matunda, muuza chakula jikoni unapata na wa barabani lakini ukiwa muuza magari, muuza mabati, cements, nondo, rangi, muuza mbao, muuza nguo za harusi kupata wa barabarani Ni nadra Kaka au amna kabisaa, na uchumi ulivo sasa hivi watanzania wengi wa kipato haba wana nyota ya 500 jero tu so uza bidhaa za bei chee au kama barkheresa au moo wanavouza juisi za 500, 600 maana wanajua watz wanatembeleana hizo nyota.
Wewe unataka waje wangapi umalize bidhaa kuliko wengine na uwapangishe foleni kama wapiga kura au unatakaje boss ?Mkuu umejitahidi kuelezea vzr lkn bado hujamaliza kiu yangu ya maswali.
Yaani assume Sasa nimeanzisha duka la kuuza soda na vyakula rejareja.
Sasa hao watu au wateja wa kukuhakikishia kwa asilimia 100 kwamba lazima waje kununua dukani kwangu unawajuaje au unawapataje?
Ndio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.Wewe unataka waje wangapi umalize bidhaa kuliko wengine na uwapangishe foleni kama wapiga kura au unatakaje boss ?
maana wateja wa duka lako sikufichi inategemea na location au mahali, biashara nzuri inaendana na location je watu wapo hapo na je vipato vyao vinamudu bidhaa zako na pia wanahitaji bidhaa zako?.
Ebu fanya kuzingatia location na ujue jinsi ya kuweka saving tuone kama utatesekaNdio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
Hyo location unaiongelea vipi yaani.Ebu fanya kuzingatia location na ujue jinsi ya kuweka saving tuone kama utateseka
Customer care,lugha nzuri,uchangamfu etcNdio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
Na Kama watu hawaji kununua hyo customer care utamfanyia nani au itaifanya muda gani?Customer care,lugha nzuri,uchangamfu etc
Ontario the master mindChukua hiyoView attachment 1101335
unatakiwa umuwini customer mmoja baada ya mwingine,hatua kwa hatua,hawaji kwa mkupuo utakaempata hakikisha humpotezi,mchangamkie ili kujenga ukaribu nae,hakikisha uwe na lugha nzuri ili watu wavutike na warudi kwako mara kwa mara,hiyo ina apply kwa kila biashara,palipo na watu lazima mahitaji yawepo,so waelewe watu wa eneo husika na range ya vipato vyao ili utoe huduma kulingana na vipato vya watu wa eneo husikaNa Kama watu hawaji kununua hyo customer care utamfanyia nani au itaifanya muda gani?
Mzee baba hapo juu ashaweka Mambo sawa location Ni mahali pakufanyia biasharaHyo location unaiongelea vipi yaani.
Location inatakiwa iweje kwa biashara husika?
Tembea na hii chiefNdio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
At least umeeleweka by 50%unatakiwa umuwini customer mmoja baada ya mwingine,hatua kwa hatua,hawaji kwa mkupuo utakaempata hakikisha humpotezi,mchangamkie ili kujenga ukaribu nae,hakikisha uwe na lugha nzuri ili watu wavutike na warudi kwako mara kwa mara,hiyo ina apply kwa kila biashara,palipo na watu lazima mahitaji yawepo,so waelewe watu wa eneo husika na range ya vipato vyao ili utoe huduma kulingana na vipato vya watu wa eneo husika
kwahiyo inamaana wafanyabishara waliofanikiwa wote wanafanya hayo mambo?