CHE GUEVARA-II JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 571 Reaction score 156 Jun 24, 2014 #1 Natafuta kuku wa Malawi wakubwa waliofikia umri wa kutaga (majike 5 na jogoo 1 tu).. Niko Dar. Nani anauza? Bei gani?
Natafuta kuku wa Malawi wakubwa waliofikia umri wa kutaga (majike 5 na jogoo 1 tu).. Niko Dar. Nani anauza? Bei gani?
F fisinonosana Member Joined Jun 19, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jun 24, 2014 #2 hao wa malawi wan tofauti gani na hawa wa Tanzania. kuku si wale wale tu?
spade4spade JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,207 Reaction score 2,158 Jun 24, 2014 #3 CHE GUEVARA-II said: Natafuta kuku wa Malawi wakubwa waliofikia umri wa kutaga (majike 5 na jogoo 1 tu).. Niko Dar. Nani anauza? Bei gani? Click to expand... Umetumwa na sangoma au?
CHE GUEVARA-II said: Natafuta kuku wa Malawi wakubwa waliofikia umri wa kutaga (majike 5 na jogoo 1 tu).. Niko Dar. Nani anauza? Bei gani? Click to expand... Umetumwa na sangoma au?
CHE GUEVARA-II JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 571 Reaction score 156 Jun 24, 2014 Thread starter #4 spade4spade said: Umetumwa na sangoma au? Click to expand... Mi' natafuta wa kuendeleza kizazi. Nataka nianze na wachache tu. Si lazima wawe 1,000. Japokuwa nina uwezo wa kununua hata kuku 10,000. Asante kwa mchango wako.
spade4spade said: Umetumwa na sangoma au? Click to expand... Mi' natafuta wa kuendeleza kizazi. Nataka nianze na wachache tu. Si lazima wawe 1,000. Japokuwa nina uwezo wa kununua hata kuku 10,000. Asante kwa mchango wako.