kuku mbegu ya malawi hawa ni weusi na wanataga vizuri na pia hawana nyama nyingi.
mbegu ya australia ni wekundu wana nyama nyingi na uwezo wao wa kutaga ni kawaida tu.
hawana uwezo wa kuaatamia. nipe namba yako kama upo willing kununua ni PM kama utojal.

Nadhani ndio trend ni watu kukimbilia kuishi Dar. Kwa mambo yote mazuri na huduma zote nzuri ziko Dar. Ninasikitika kutoona taarifa za huduma kama hizi kwa Mikoa ya huku kwetu Tanganyika kama Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, n.k.
zitafika tu na nadhani zipo huko tayari sema ni kwa sababu haijulikani. ni PM unipe mawasiliano yako tuwasiliane tuone namna ya kufanya kama upo willing kufanya ufugaji!!