karipoti chuo usajiliwe kisha ufuate taratibu za chuo chako katika kuahirisha mwaka wa masomo then peleka heslb taarifa kutoka chuoni kwako au hakikisha zimepelekwa bodi kwa kufanya hivyo ukianza utapewa loan ukija kuanza tena na huta apply loan na kwa maelezo zaidi piga simu namba za heslb utapewa mwongozo