Habari wanajamvi.
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, Nataka kujua taratibu za kufuata ili kuiunga kampuni na Bima ya afya (NHIF) au AAR,ili wafanyakazi na familia zao waweze kupatiwa huduma za afya pindi watakapohitaji, naamini humu ntapata majibu.
Natanguliza shukran