Pitia vitu kama, mission, vision,organization structure ya chuo
Kwanini unataka kufanya nao kazi, departments walizinazo, unaelewa nini kuhusu SUA, duties and responsibilities kama T.A , future carrier,
Pia technical questions ( kwenye fani)
In addition
Unaweza kupewa topic uandae ppt na uilezee mbele ya panel au ukaambiwa uandikie topic yoyote unayoifahamu
Pia unaweza kupewa swali la practical ufanye kama fani yako ni technical then baada yahapo ndio unaenda kuulizwa maswali na panel
All the best