M Mama marylin New Member Joined Aug 26, 2018 Posts 2 Reaction score 2 Sep 9, 2018 #1 Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Sep 9, 2018 #2 Watakuja kesho
L laki si pesa. JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 9,983 Reaction score 9,760 Sep 9, 2018 #3 NMB niligombana nao sana kwenye entrview hawa, sitasahau
Mayor Slum JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 776 Reaction score 1,177 Sep 9, 2018 #4 laki si pesa. said: NMB niligombana nao sana kwenye entrview hawa, sitasahau Click to expand... Ilikuwaje ukangombana nao
laki si pesa. said: NMB niligombana nao sana kwenye entrview hawa, sitasahau Click to expand... Ilikuwaje ukangombana nao
cmases JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 1,765 Reaction score 1,440 Sep 9, 2018 #5 Ulizia kwenye group lao
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,916 Reaction score 8,715 Sep 9, 2018 #6 Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... "Only shortlisted will be contacted" kama hii kauli ilikuwepo basi Jiongezee endelea na shughuli zingine
Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... "Only shortlisted will be contacted" kama hii kauli ilikuwepo basi Jiongezee endelea na shughuli zingine
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,151 Reaction score 18,755 Sep 9, 2018 #7 Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... Utapata ugonjwa wa moyo mkuu Ukiona hujaitwa ujue mchakato bado au hukuvuka,endelea tu na mambo mengine
Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... Utapata ugonjwa wa moyo mkuu Ukiona hujaitwa ujue mchakato bado au hukuvuka,endelea tu na mambo mengine
L lede lede Senior Member Joined May 7, 2017 Posts 140 Reaction score 63 Nov 18, 2018 #8 wameshaan Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... wameshaanza kutuma email kwa walio kosa toka alhamis. pitia email yako
wameshaan Mama marylin said: Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam Click to expand... wameshaanza kutuma email kwa walio kosa toka alhamis. pitia email yako