M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 Jun 22, 2014 #1 Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira!
Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira!
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,833 Jun 22, 2014 #2 dah mkuu hata wiki haijaisha?anyway sababu mwaka wa fedha uko mwanzoni inaweza kuwa mapema!
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jun 22, 2014 #3 Mtendaji wa kaya said: Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira! Click to expand... nlifanya usaili october 2012 ,nikaitwa kazini mwezi january 2013
Mtendaji wa kaya said: Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira! Click to expand... nlifanya usaili october 2012 ,nikaitwa kazini mwezi january 2013
M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 Jun 22, 2014 Thread starter #4 sawa sawa
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 134 Jun 22, 2014 #5 Mr wangu oct 2010 akaitwa feb 2012, u can imagine, yani lisahau kabisa maana wenzie alofanya nao walishazoea na kazi
Mr wangu oct 2010 akaitwa feb 2012, u can imagine, yani lisahau kabisa maana wenzie alofanya nao walishazoea na kazi
U Uyole12 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2010 Posts 595 Reaction score 176 Jun 26, 2014 #6 Watu wameshaanza kupewa barua mkuu
M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 Jun 26, 2014 Thread starter #7 Uyole12 said: Watu wameshaanza kupewa barua mkuu Click to expand... haya bwana