Naomba kuuliza waliofanya oral interview utumishi nafazi mbalimbali za tan trade mbona kimya? kada nyingine zote walipangiwa vituo hata wale waliofanya baadae.
sanduku la posta nililotumia limefungiwa kisa halijalipiwa na mwenye nalo hayupo nchini kasafiri on top of that nimeitwa kazini je, nikienda bila barua mwajiri atanipokea?.........msaada wadau
Acha utani wako unapoleta mzaha kwenye maisha ya watu unakuwa kama hujielewi. Waliofanya interview za Tan Trade mwezi wa March mwishoni kwa nafasi zile za kuanzia watu hawajaitwa kazini. Acheni upuuzi wenu humu ndani.

aisee hiyo hatari, mm binafsi nilikuwa nazisubiria hizo lakini hadi leo naona kimyaaa, brand officer, promotional officer, domestic market dev. officer na nyinginezo.......