Kuhusu Praise Team!

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,346
Reaction score
863
Mzuqa wadau wote humu.

Kuna ka'usemi flan kamekuwamo humu juu ya tittle hapo juu. I'd like to declare my interest, Mimi ni CCM-Lialia na mfuasi haswaaaaaa, wa Mhe.JPM.

Mimi na wenzangu tukimsema vyema kwa kazi nzuri anayotufanyia Mimi na wewe ktk awamu hii, Nyumbu mnabana pua zenu unaskia "Praise team".

Wakati huo akiguswa Mbowe(mhe.Mw/Kiti wa Chadomo saccos), Nyumbu mnazingua nakuanza kumtetea na kumsifia.

My question now, kati ya sie CCM na nyie Chadema(zamani ilikuwa ukawa), nani Praise team????????

Kwa unyenyekevu mkubwa, Naomba kuwasilisha.

NB; POVU wanaruhusiwa Nyumbu tu!!!
 
"Upumbavu wa Mwaka"
 

Hii awamu wasifiaji mmetoka kwenye utu mmekuwa kama mashoga si mashoga basi balaa tu.
 
TuntemekeSanga =F.S= Team Mwigulu=Meneja SFC ..Nimetumia tu abbreviation kuonyesha kwamba nakufahamu!
 
Ni haki yako kuwa PRAISE TEAM. Usione haya.
Nasie ni haki kukosoa kwa lugha na mameno yenye ukakasi yanayowachochoma kama mshale.

Mliege tu. Kama unaona aibu kuitwa PRAISE TEAM utajijuuuuu.
 
NA MTABAKI KUWA PRAISE TEAM MPAKA JIWE AONDOKE MADARAKANI.
Wengi wenu mtamwimbia sifa mpaka makoo yatapata kansa lakini vyeo mtavisikia tu kwa akina Katambi, Mtatiro and the like.

Praise team mpo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Sawa batamzinga tumekusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…