Kuhusu mikopo ya elimu ya juu

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
6,669
Reaction score
2,165
mawazo yangu kuhusu kutokuwapa mikopo watoto waliosoma shule za kulipia ni makosa makubwa na aliyotoa hilo wazi akufikiria vizuri,kwani kama ni hoja kwamba wanaosoma shule za kulipia ni watoto wa matajiri,kilichukuwa kinatakiwa hapo ni kusema wazi kwamba watoto wa matajiri wasipewe mikopo bila kujali amesoma shule za kulipia au za kawaida,maana kama ni kulipia kuna watu ambao sio matajiri wanakubali kujinyima kiasi kwamba hata kula kwa shida ili mradi mtoto wake asome shule ya kulipia akiamini kwamba ndiko kwenye elimu bora. hivyo ilitakiwa watoe horodha ya watu gani ambao watoto wao hawastahili kupewa mikopo. kwa ufano:watoto wa mawaziri,wakurugenzi,wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa na wanaofanana na hao maana ni uakika kwamba ni matajiri na wanauwezo wa kuwalipia watoto wao,sio kuchanganya na watoto wengine hambao wazazi wao wanachoma hata mahindi ili mradi apate pesa ya kumlipia mwanae shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…