utapata kazi ya kuajiriwa lakini maslahi zaidi ni kama ukiajiajiri,,ka unaweza kwenda technical kwa nini usi opt for other courses kama civil au electronics &telecomunication engineering,,

kama utafanya access course na kufaulu mtihan wao unaweza kupata nafas na kujiunga ila jiandae maana msuli wa lab tech ni sawa na kufanya combination 2 advance level