pole mpendwa me cjui but i lost my grandfather and my school best friend (Always in my mind as she was my 1st best friend).
Waone hawa watakuambia mimi49MziziMkavu Na madoctor wengine sorry sina id zao kichwani.
pole mpendwa me cjui but i lost my grandfather and my school best friend (Always in my mind as she was my 1st best friend).
Waone hawa watakuambia mimi49MziziMkavu Na madoctor wengine sorry sina id zao kichwani.
Leukemia imegawanyika katika makundi manne nayo ni:
Acute myeloid leukemia (AML)
Acute lymphoblastic leukemia (ALL)
Chronic myeloid leukemia (CML)
Chronic lymphocytic leukemia (CLL)
Mtu anapopatwa na ugonjwa huu anakuwa na muongezeko wa kukua/wingi wa chembechembe nyeupe za damu.Leukemiacells zinazuia kutengenezwa kwa chembechembe za kawaida kwenye bonemarrow.Na bonemarrow isipokuwa na uwezo wa kuzalisha chembechembe nyeupe za kutosha mwilini unapatwa na dalili kadhaaa nazo ni:
Kudhoofu kwa mwili/hitaji la kutaka kupumzika zaidi
Uzito wa pumzi/matatizo kwenye kupumua
Kuongezeka kwa mapigo ya moyo
Kizunguzungu
Maumivu ya kichwa
Homa za maramara na infections za aina tofauti zinazojirudia
Kuvia kwa damu mwili,kutoka kwa damu kwenye fizi
Kuwa na uvimbe kwenye lymph nodes,ini na spleen
Kupungua kwa uzito
Kutokwa na wingi wa jasho usiku
Sababu za ugonjwa huu ni:
Kurithi haswa kwa wagonjwa wa Chronic Lymphocytic Leukemia
Kutibiwa na chemotherapy au mwili kuwa exposed na chemicals au radioactive radiations
Wagonjwa wenye chronic myeloid leukemia wana mabadiliko kwenye chromosome mwilini inayoitwa Philadelphiachromosome
Utajuaje kama una kansa ya damu
Kipimo cha damu ili kuangalia mabadiliko ya chembechembe za damu mwilini
Bonemarrow test
Immunophenotype and chromosome test
Tiba za ugonjwa huu:
Chemotherapy kwa wiki kadhaa inategemea na kansa ya damu uliyonayo,Kuna aina tofauti za chemotherapy ambazo zinaweza kutumika kama vidonge au intrathecal chemothrapy(Ambapo unatibiwa direct kupitia kwenye spinal cord).
Radiation therapy
Stam cell transplantation
Monochlonal antibodies
Kuondolewa kwa spleen
Cortison treatment
Wagonjwa wanaopatwa na na Acute myeloid leukemia (AML)/Acute lymphoblastic leukemia (ALL) wana asilimia 80-90 za kupona ugonjwa huu lakini kuna 50% risk ya huu ugonjwa kurudi tena.
Wagonjwa wanaopatwa na Chronic myeloid leukemia (CML)/Chronic lymphocytic leukemia (CLL) hawawezi kupona ugonjwa huu wanaweza kupatiwa tiba ili kupunguza dalili za ugonjwa na kuongeza muda wa kuishi na kawaida wanatabiriwa wana muda gani wa kuishi kutokana na wameathirika kiasi gani!