kuhusu facebook

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
jamani salama,nilikuwa naomba msaada wenu,kuna mtu nina namba yake ya simu na huyo mtu amejiunga kwenye facebook,sasa nilikuwa nataka nimpate kupitia facebook..je nitumie njia gan
 
mfuate Facebook we panda gar za vifurush we za Voda.tho or air tel so kabla ukujashuka utmwona au gugo
 
mfuate Facebook we panda gar za vifurush we za Voda.tho or air tel so kabla ukujashuka utmwona au gugo

sijakuelewa,kama hauna ukijuacho kaa kimya
 
Nenda kwny Facebook search mserch utampata tu ndugu mambo kuulizana au vp'!!!si wote walienda IT. Hzi hz simu watu wanasoma angalau kujua kufungua fb tweeter jf whatsup nk
 
jamani salama,nilikuwa naomba msaada wenu,kuna mtu nina namba yake ya simu na huyo mtu amejiunga kwenye facebook,sasa nilikuwa nataka nimpate kupitia facebook..je nitumie njia gan
Huyo mtu lazima atakua demu. Unataka umuone sura yake
That aside, nenda Tigo pesa fanya kama unamtumia pesa, kabla huja maliza kuweka password, jina lake litakuja. Kwa mitandao mengine, jilipue kwa kutumia simu ya rafiki yako, mtumie kama shs 250, then utaona jina lake. Halafu ingia zako facebooooook taratîiiiiiiila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…