S Shabby kng Member Joined Jul 4, 2013 Posts 41 Reaction score 6 Jul 6, 2013 #1 Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo ananisumbua kila siku kuhusu usajili wake
Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo ananisumbua kila siku kuhusu usajili wake
B BGG Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 134 Reaction score 15 Jun 14, 2014 #2 Shabby kng said: Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo ananisumbua kila siku kuhusu usajili wake Click to expand... Chuo hicho kimesajiliwa na mwaka huu kinatoa intake yake ya kwanza.
Shabby kng said: Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo ananisumbua kila siku kuhusu usajili wake Click to expand... Chuo hicho kimesajiliwa na mwaka huu kinatoa intake yake ya kwanza.
brave_3 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2014 Posts 1,186 Reaction score 710 Jun 18, 2014 #3 kimesajiriwa