W wisewords Member Joined Jul 4, 2015 Posts 23 Reaction score 11 Nov 11, 2024 #1 Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,390 Nov 11, 2024 #2 Kwa sababu Zambia ni kituo kikuu cha uzalishaji wa kakao nchini Ghana. Sijui unanielewa kweli?
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5,035 Reaction score 4,418 Nov 11, 2024 #3 wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwasababu watanganyika wamewalipia sehemu ya pesa kwenye hivyo viatu. Kuwa nashukran mkuu
wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwasababu watanganyika wamewalipia sehemu ya pesa kwenye hivyo viatu. Kuwa nashukran mkuu
W wisewords Member Joined Jul 4, 2015 Posts 23 Reaction score 11 Nov 12, 2024 Thread starter #4 Sijaelewa
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,258 Reaction score 10,800 Nov 12, 2024 #5 Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,109 Reaction score 110,932 Nov 12, 2024 #6 wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwa sababu ni nchi inayojitegemea kwenye masuala ya forodha na kodi zake... Ushuru wa forodha na kodi kadiri zinavyokuwa kubwa na nyingi, bei ya imports huwa kubwa pia...
wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwa sababu ni nchi inayojitegemea kwenye masuala ya forodha na kodi zake... Ushuru wa forodha na kodi kadiri zinavyokuwa kubwa na nyingi, bei ya imports huwa kubwa pia...
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,508 Reaction score 10,083 Nov 12, 2024 #7 MWANDENDEULE said: Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika. Click to expand... Usafiri vipi mkuu?
MWANDENDEULE said: Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika. Click to expand... Usafiri vipi mkuu?