Matokeo yako yakoje? je uko tayali kukaa gengeni na kuuza bidhaa?, kwani usi rudie paper kama matokeo si mazuri? ok jaribu kuwaambia wazazi /walezi wakulipie hata ukasome kozi fupi za miezi 6 cku hizi vitu ni vingi hadi usafi unasomewa, mdogo wangu hata computer basi nenda kasome kwanza uwe hata na cheti. Maisha ni magumu jiongezee hata kidogo.
Au labda umefaulu ila tu unataka upate kazi ili tu uwe unasubiri kwenda shule huku unapata chochote kitu? kama umefaulu mda huu utumie kusoma hata computer kozi.
NB: kama hali ya maisha kweli ni ngumu sana kiasi ambacho no way out, basi Endelea kutafuta utapata, ila mh! ndugu cku hizi? we acha tu. Mafanikio mema mdogo wangu.