pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Kwahyo wahandisi nao waombe ualim wa physics au masomo husika yanayoendana na fani yao ambayo kwenye system yanaonekanaWakuu jumapili njema!
Wakuu hizi ajira za walimu zimekaa kisiasa zaidi,kwani ukiangalia toka 2015 mpaka 2020 mkuu wa nchi ameajiri walimu wachache sana.
Kwa upande wangu ninavyoona hizi ajira zisipotelewa wakati huu wa kapeni means before 28 October watakaopata watakuwa wengi kuzidi idadi alioitoa mkuu wa nchi kwani zitaenda kuaribu Sera za viongozi pia mgombea wa ccm atapunza popularity kwa wafaasi wake..na upande wa pili watapata cha kuongea zaidi kwani walimu wengi sana wanazisubili mpaka sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.
Ila zikitoka wakati wa uchaguzi ukiwa umepita walimu wengi waandike maumivi sana kwani mpaka miaka mingine mitano ijayo.
Pia walimu wa science hizi kazi zinawahusu sana especially physics &math kwa walimu wa sanaa kazi ipo..
Vigezo ambavyo wengi wanasema katika hizi ajira ni 1.ufahuru,2.mkopo,3.uhitaji wa masomo na vigezo visivyojulikana.
Nawatakia jumapili njema wakuu.
Umejuaje kama walioomba paka sasa wako 91236?Wakuu jumapili njema!

🤣🤣na vigezo visivyojulikana.
[/QU
Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.
Hatar SNA ..walimu wa sanaa wajipange kisaikolojia tuKAti ya hao 91234 ni walimu kwa kisomo na Engineering course, sasa kazi ipo
Watu tunajaza nafasi acha kutisha watu,, walimu wa Sanaa a wapo pekee mtaani?Hatar SNA ..walimu wa sanaa wajipange kisaikolojia tu
Weka kadi ya CCM.Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
KAti ya hao 91234 ni walimu kwa kisomo na Engineering course, sasa kazi ipo
Siyo lazima labda kama unataka kukosa kazi.Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
Mkopo inakuaje???Wakuu jumapili njema!
Wakuu hizi ajira za walimu zimekaa kisiasa zaidi,kwani ukiangalia toka 2015 mpaka 2020 mkuu wa nchi ameajiri walimu wachache sana.
Kwa upande wangu ninavyoona hizi ajira zisipotelewa wakati huu wa kapeni means before 28 October watakaopata watakuwa wengi kuzidi idadi alioitoa mkuu wa nchi kwani zitaenda kuaribu Sera za viongozi pia mgombea wa ccm atapunza popularity kwa wafaasi wake..na upande wa pili watapata cha kuongea zaidi kwani walimu wengi sana wanazisubili mpaka sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.
Ila zikitoka wakati wa uchaguzi ukiwa umepita walimu wengi waandike maumivi sana kwani mpaka miaka mingine mitano ijayo.
Pia walimu wa science hizi kazi zinawahusu sana especially physics &math kwa walimu wa sanaa kazi ipo..
Vigezo ambavyo wengi wanasema katika hizi ajira ni 1.ufahuru,2.mkopo,3.uhitaji wa masomo na vigezo visivyojulikana.
Nawatakia jumapili njema wakuu.
Ndugu kunachangamoto nyingi...mfano kunawengine wanafatilia namba za nida....mtandao upo slow sana.Wana Jf. Kuna ajira hapa kweli? Au waliotuma hawana sifa? Au hawajafikia hao 13,000 wanaowataka?View attachment 1573285
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Kama suala kuwapata waliowataka ile siku ya kwanza tu wangewapata ila suala ni Fair kina anayestahili kuoata fair ya kuwa katika wanaopambania nafasi.Wana Jf. Kuna ajira hapa kweli? Au waliotuma hawana sifa? Au hawajafikia hao 13,000 wanaowataka?View attachment 1573285