Kuhusu ajira za uhamiaji

ajjam

New Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Habari wanajamvi.Naomba kujuzwa Kwa mwenye kujua kuhusu ajira za uhamiaji mwezi wa 7 zimeshatoka au kuna kipi kinaendelea.
Ahsanteni na nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira zote za polisi,magereza, jwtz,usalama,uhamiaji,wanyamapori, na nyingine za namna hiyo utaratibu mpya ni kwamba tunachukua vijana kutoka jkt.asikudanganye mtu yeyote kukufanyia mpango upate nafasi bali kinachotakiwa subiri nafasi za jkt zikitoka au maelekezo mengine yakitoka kutoka ktk vyombo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivyo na kinyume chake ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…