Computer yako lazima uwe na itunes ili uitumie ku sychronise na outlook..then hiyo simu nyingine kama inasupport synchronisation utaiconnect kwenye pc suite yake na kuhamisha
Ikiwa simu yako ni Android na haikubaliani na outlook au unatumia Mac computer kuna njia nyingine, kwa hiyo ikiwa bado hujafanikiwa tafadhali ainisha aina ya simu unayotumia na OS ya kompyuta yako huenda tutaweza kukusaidia.