Kugombea UVCCM mwisho miaka 35

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,584
Reaction score
17,528
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kuanzia sasa umri wa kugombea ndani ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) kwa chaguzi zijazo utakuwa mwisho ni miaka 35 badala ya 30.

Kauli hiyo imetolewa leo November 27, 2022 na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa UVCCM jijini Dodoma.

Chongolo amesema kuwa Chama kimechukua maamuzi hayo lengo ikiwa ni kurejesha nafasi ya kuwakuza Vijana mpaka miaka 40 ndani ya UVCCM.



Nini maoni yako??
 
Duh........!

Miaka 35 hadi 40 ni Vijana?

Hata Kanisani Kwaya ya Vijana umri mwisho ni miaka 33 ya Uhai wa mwokozi Yesu!
 
 

Attachments

  • B7927A98-F8D1-4D4A-8608-A12D8B3AC84E.jpeg
    112 KB · Views: 10
CCM ni chama kilichojaza mapunguani! 40 huyo siyo kijana tena!
 
WEKENI HATA MIAKA 55 TUTAMWITA KIJANA KWA TANZANIA INAWEZEKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…