Kufungua vyuo

David kulwa

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
29
Reaction score
2
Wana JF naomba kuuliza iv vyuo vitafunguliwa pamoja au kila chuo kina fungua kivyake
 
Vyuo gani? Vya diploma au degree kama ni kufungua me najua kila chuo kivyake
 
Jibu ni baada ya neno au kwenye sentesi yako
 
Ukitaka kujua uwezo na rangi halisi za wadogo zetu,tembelea jukwaa la Elimu.It's so sad
 
Vinafuguliwa pamoja baada ya ustadh mkuu wa kila msikiti kuthibitisha usajili wa wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…