Nimepo huku mwishoni mwa nchi,michakato ya kibongo imekuwa mireeefu mpaka kukatisha tamaaa,ila bado nnaendelea kukomaa ktk idea na uandishi wa proposal za hapa na pale.
Nenda ofisi za elimu wilaya au wizarani kabisa watakupa miongozo na vijitabu vitavyokuongoza kufungua shule yako. Mdhamin ni muhmu sana na linaweza kuwa kanisa mfano lutheran, RC n.k au shirka lolote lile lisilo la kiselikar. Kwa maelezo zaidi njoo inbox
Nimepo huku mwishoni mwa nchi,michakato ya kibongo imekuwa mireeefu mpaka kukatisha tamaaa,ila bado nnaendelea kukomaa ktk idea na uandishi wa proposal za hapa na pale.
Nina wazo kama lako japo mm nataka nifungue ya pre primary and primary, na nitaijenga kwa gharama ndogo saanaaa , nimemtuma partner aende kuulizia huko maofisini ili nipate pa kuanzia