Kufika chuo tu ni shida

simwela

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
71
Reaction score
9
Jaman mie ninampenz wangu tumekua wote toka 2009, 2kiwa 4m 3. Sasa sinc mwez wa pil 2kielekea kumaliza semister amebadilika sna n yy ndo aliniaproch mim(dem akanfwata mie)...
Je inawezekana amepata bwana n nataman kumwacha ila nampenda sna...
Nisaidien njia ya kumwacha ambayo maumivu yke sio makal...
 
Soma kijana acha kuendekeza mapenzi...
 
kweli kichwa changu kigumu sana yaani sijaelewa ulichokiandika kabisa
 

kama hata kuandika kwako no shida bora uachwe tuu haiwezekani mwanachuo mzima inaandika ki facebook
 
Hiki kizazi cha sasa tabu tupu
utapata hasara gani ukiandika maneno ya kueleweka?
 
Mbona unakua mvivu wa kufikilia ww jamaa!!mambo yako mengine uwa anakutatulia nani? acha upuhuzi husiudhalilishe uanaume kijana chukua time.
 
Hahaha watu wanavituko jamani hivi kwanza unajua mapenzi ni hisia zinazotoka moyoni sasa mpenzi wako wewe unaomba ushauri jf umuache au usimuache
 
yy ndo aliniaproch mim(dem akanfwata mie)...
.

Hahahahahaaas.... JF ni sheeeeedah.... Yani uko serious unataka kina miss chagga waamini kwamba wewe ni handsome?
Siungeenda direct kule love connect??? Lol
 
Last edited by a moderator:

Dah! unatamani kumuacha ila unampenda!
 
Mtu kama wewe unakuta unalalamika hujapata mkopo! Hahaa Tanzania tunakazi kubwa.
 
hivi neno "Mie" hutumika na jinsia gani
 
tafuta mwingine atakusaidia kupunguza maumivu.

ila kama alikuwa na vitu adimu hata ukimpata mwingine utamuona hakufai.

kwa hiyo jipange kuyakabiri maumivu.

after all mtu anaeacha haumii sana ila ukiachwa ndio utasikilizia maumivu makali kushinda hata ya operation ya jicho.

alafu usikimbilie kumwacha wewe, unaweza kukimbilia kumwacha alafu ukishindwa utarudije kwake?

zaidi kama ushaelewa wewe jiandae kisaikolojia kama akikuacha yeye.

wakati mwingine unajifanya chizi kwenye mapenzi.

fimbo ya mbali haiui nyoka.

pengine ndo sababu kashindwa kuvumilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…