Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 289 Feb 5, 2014 #1 Wadau.. heshima mbele naomba kufahamu bei ya soko kwa ekari moja ya ardhi ambayo haijapimwa ina ina hati ya mauziano... Morogoro-Kingolwira, upande wa Manispaa na umbali wa Km 2 toka barabara kuu ya Moro-Dar.. Ahsanteni..
Wadau.. heshima mbele naomba kufahamu bei ya soko kwa ekari moja ya ardhi ambayo haijapimwa ina ina hati ya mauziano... Morogoro-Kingolwira, upande wa Manispaa na umbali wa Km 2 toka barabara kuu ya Moro-Dar.. Ahsanteni..