Laptop ni mpya kabisa baada ya siku kadhaa za matumizi nilipo iwasha msg isemayo ''no bootable device, please restart'' inatokea ..nikajaribu kupiga window shida ikajaonekana kua harddisk haina mawasiliano na compyuta, ikanilazimu niitoe kuijaribu kama external ili kuona kama ni kipi chenye shida nikabaini kwamba haisomi. Sasa kwa wale wenye ufahamu wakitaaluma na mambo ya izi mashine, nahitaji kuelezwa kama ile hdd ndo basi tena yakutupa au inaweza kushugulikiwa, pili nini hasa kinaweza sababisha ishu kama hii ili next time niwe aware ili isijitokeze tena... nb pc haikudondoka wala physical demage yoyote haikuwepo..
mnakaribishwa wote.
my regards..