Kudai haki

francvenet

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Hivi kudai haki ni uvunjifu wa amani?manake wanaodai haki siku zote wanatajwa kuwa wanahatarisha amani
 
Hii ndo Tanzania na Mtazamo wa Viongozi Wanaolindana na kujali Maslai yao zaidi wanavyoamua.
 
ndio mitazamo ya nchi zetu izo. Ukidai haki yako ni kama uliyeshtuka toka usingizini. Hivyo unaleta usumbufu wa kuamsha wengine wote waliolala. Ukitaka kujua kudai haki ni uvunjifu wa amani, fanya kazi serikalini, afu dai arrears zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…