Tofauti na kazi uliyonayo, ungependa kufanya kazi gani? Labda ulipokuwa mdogo ulikuwa unasema nikiwa mkubwa napenda kufanya kazi fulani na sasa siyo kazi uifanyayo.
Mimi nilitamani mno kuwa mwalimu,yaani nilikuwa natamani tu kuchapa watoto,yaani kuwa mwalimu mkali kuliko wote shuleni,utoto bhana,lakini wapi maisha haya yaTanzania hayana kanuni kabisaa,lakini sio mbaya nimekuwa mwalimu wa watoto wangu lakini mwalimu rafiki kwao.....