East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu imetoka UKAWA wanaitisha hadi press conference kuzungumzia hiyo hukumu utafikiri wao ndio walifungua.
Hukumu hii m,imi naiona kama ina hatimiliki (COPYRIGHT) ya aliyefungua kesi yaani kubenea.Hawa Ukawa wanaotumia hii kesi kujienga n.k kama kweli wanajali wamlipe gharama kubenea alizotumia kuendeshea hiyo kesi.Ni aibu kuwa waliachia lifanywe na mtu binafsi halafu waanze kula matunda yake kwa kuvuna wasipopanda.
Kubenea walimwita pandikizi na kila jina alipofungua hiyo kesi.Namwomba kubenea awapelekee invoice za hiyo kesi walipe.Wasitumie bure hiyo judgement kwa kuwa kubenea hajaipata bure kagharimia.
nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu imetoka UKAWA wanaitisha hadi press conference kuzungumzia hiyo hukumu utafikiri wao ndio walifungua.
Hukumu hii mimi naiona kama ina hatimiliki (COPYRIGHT) ya aliyefungua kesi yaani kubenea.Hawa Ukawa wanaotumia hii kesi kujienga n.k kama kweli wanajali wamlipe gharama kubenea alizotumia kuendeshea hiyo kesi.Ni aibu kuwa waliachia lifanywe na mtu binafsi halafu waanze kula matunda yake kwa kuvuna wasipopanda.
Kubenea walimwita pandikizi,mtafuta umaarufu na kila jina alipofungua hiyo kesi.Namwomba kubenea awapelekee invoice za hiyo kesi walipe.Wasitumie bure hiyo judgement kwa kuwa kubenea hajaipata bure kagharimia.

Namwona Kubenea kama mtu mmoja mwenye akili na kujua haki zake kana mwananchi, kuliko wengi wanaopiga domo na kulalamikia makwapsni.nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu imetoka UKAWA wanaitisha hadi press conference kuzungumzia hiyo hukumu utafikiri wao ndio walifungua.
Hukumu hii mimi naiona kama ina hatimiliki (COPYRIGHT) ya aliyefungua kesi yaani kubenea.Hawa Ukawa wanaotumia hii kesi kujienga n.k kama kweli wanajali wamlipe gharama kubenea alizotumia kuendeshea hiyo kesi.Ni aibu kuwa waliachia lifanywe na mtu binafsi halafu waanze kula matunda yake kwa kuvuna wasipopanda.
Kubenea walimwita pandikizi,mtafuta umaarufu na kila jina alipofungua hiyo kesi.Namwomba kubenea awapelekee invoice za hiyo kesi walipe.Wasitumie bure hiyo judgement kwa kuwa kubenea hajaipata bure kagharimia.
Wengine tulizaliwa Tanzania hatujui hiyo Tanganyika inafananaje hata tuwe na uchungu nayo!Mtoa mada naona huna uchungu na Tanganyika nyeti pole kwa kukataa uzawa wako
nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu imetoka UKAWA wanaitisha hadi press conference kuzungumzia hiyo hukumu utafikiri wao ndio walifungua.
Hukumu hii mimi naiona kama ina hatimiliki (COPYRIGHT) ya aliyefungua kesi yaani kubenea.Hawa Ukawa wanaotumia hii kesi kujienga n.k kama kweli wanajali wamlipe gharama kubenea alizotumia kuendeshea hiyo kesi.Ni aibu kuwa waliachia lifanywe na mtu binafsi halafu waanze kula matunda yake kwa kuvuna wasipopanda.
Kubenea walimwita pandikizi,mtafuta umaarufu na kila jina alipofungua hiyo kesi.Namwomba kubenea awapelekee invoice za hiyo kesi walipe.Wasitumie bure hiyo judgement kwa kuwa kubenea hajaipata bure kagharimia.
Wengine tulizaliwa Tanzania hatujui hiyo Tanganyika inafananaje hata tuwe na uchungu nayo!