umegusa eneo la watu rafiki utashambuliwa mpaka ha ha ha
kama ofisi fulani mtu amebeba kapu lina hotpot tatu viazi vya kuchemsha vya chai, kisamvu na ugali wa mchana akimaliza vyote anapiga usingizi kidogo ha ha ha ha ha ha.

I just Love this..
Mimi nimeanza kubeba chakula last Month...Najuuta kuchelewa ... sijui nilikuwa wapi...
manake nakula maakuli ya wife saaafi na tunasave hela mingi sana...
wewe usietaka kubeba kama huna wa kukupikia na hujui kupika utajiju...
JINGA Wewe..
huwa nakerwa sana na hii tabia ya wazee hadi vijana kubeba lunch boxes kutokea majumbani mwao.......mchakula wa jana jioni unapashwa moto saa 7 mchana unaliwa ofisini..kila mtu na bakuli lake harufu yake ndani hakukaliki........wengi watakuja na sababu zao,,but i thought lunch time ulikua ni wakati mzuri zaidi wa watu kusocialize,kunyoosha miguu,kukutana na department zingine,na ofkoz kupata some fresh food!!
HA ha ha ha, yale makapu ya plastik au ya ukili?
Na atashambuliwa kweli
Imagine watoto home wana makontena ya shule, na baba una kapu lako?

Watu tunajenga huko majumbani unafikili wote tuna mashauzi kama wewe alafu inaelekea kuna kademu ka department nyingine unakavizia lunch umeliwa kama ndo hivyo. Msosi ofisini bei ndogo una budget ya elfu tano ujinga gani huo hujui tunasomesha english media?
Is it so strange?
Mimi ninezowea itakuwa, babaangu alikuwa na lunch box yake.
Tukifungiwe sisi ya kubeba chekechea na yeye yake
Nami baba watoto nitamfanyia, coz I think it's so sweet
Good for you kama unaweza
Niliishi mahali ilikuwa lazima ubebe lunch box
Na si kwamba chakula hakuna, kilikuwa kinaandaliwa ni mie tu kwenda na kontena langu waniwekee
Maana hakukuwa na sehemu ya kununua chakula, nilifanya siku 2 za mwanzo nilipokuwa mgeni
Baada ya hapo sikuweza tena, niliacha
Imenikalia vibaya sana sijui kwa nini? Hapa napofanya huwa naona akina mama na vikontena asubuhi
Nawashangaa mno na kuwatania, uzuri tumezoea kutaniana
But, siwezi jipatia picha na lunch box kabisa
mchakula wa jana jioni unapashwa moto saa 7 mchana unaliwa ofisini..kila mtu na bakuli lake harufu yake ndani hakukaliki........
comment zimenichekesha.mishahara hii,kubana matumizi muhimu.kuna kaka mmoja yeye alikuwa anatembea kwa miguu mwendo mrefu anasema anafanya mazoezi,kumbe ana save mpaka nauli.silaumu kwa sababu kila mtu ana maisha yake.wengine wana majukumu mengi
Wacha ushamba wako- eti kupata fresh food. Who told u chakula cha jana jioni is bad. Do you have an idea under the sun if the food u eat out is absolutely fresh?
Go enywhere in europe, People prepare their own meals. Kwanza ni salama zaidi na unaweza kuconrol/kubalance the food types tofauti na hotelini mostly junk au oily.Tatu ni cheaper. imagine kutoa 5000 everyday kula peke yako , bado maji, bado matunda , roughly u may use >100,000 kwa mwezi at minimal.
Kuhusu harufu : Well kama hamna common/kitchen room ya kulia lazima iwe tatizo
Antisocial: Nope , I disagree. U can eat ur home made lunch and still chat with friends and spare some minutes to walk outside .